AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Mbosso – Nadekezwa

Mbosso – Nadekezwa

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Ooh oohSalamu ulizonitumia zimenifika aah niko salama ata usijal nalishwa
Vitamu vinono najilia aah biriani ya ngamia
Aah penzi twadalikana koo kidali nimekusahau!
Nakumbuka tu lako jina kidogo angalau ungeng’oa mizizi sioo kukata
Shina penzi wakapanda dau mijini baba pesa fitina Mimi
Ukanidharau visenti haba mfuko
Umechina na ndo uwezo wangu ulipoishia.
Ningekupa nini(tena Kula)yangu ya
Kupapazia hukumeza ukatema me(sina gariii)
Nade nadekezwaNdani masham shamam mtoto kanibili ooh
Hadi nacomecome kumi na mbili alfajijiri
Nanishamvika nyoto cheo chake kikubwa cha mapenzi kanjaza kanchota
Kanishika pabaya natuhadharisha simu za usiku
Punguzaa unahatarisha penzi Langu moto kuunguza nishakushauuNakumbuka tu lako jina kidogo angalau ungeng’oa mizizi sioo kukata
Shina penzi wakapanda dau mijini baba pesa fitina Mimi
Ukanidharau visenti haba mfuko
Umechina na ndo uwezo wangu ulipoishia.
Ningekupa nini(tena Kula)yangu ya
Kupapazia hukumeza ukatema me(sina gariii)
Nade nadekwa
Oooh oooh

Updated: March 31, 2020 — 11:28 pm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3