AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Nyashinski – Finyo

Need a web developer in nigeria
Nyashinski – Finyo

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Hodi kwa mama wa mtoto mkorofi
Acha nikuambie ka unataka kuona machozi
Ya mtoto mchokozi
Itabidi uongeze pilipili kwa biriani, otherwise
Ka si hivyo wanachama hatuliangi, hatutuliangi
Na ndukulu ni bangi
Na ina harufu mbaya
Inaudhi majirani
Lakini haidhuru ni sawa
Acha wahamie kwa mashininani
Ka ina wadhuru vibayaZina tu-bustia ka bombom kwa corner
Mi nina squadi kwa chrome
Na ma conmen na wakora
Wana diploma za kufunguanisha Grogon na Corolla
The boredom mnasorora
Vile hamna talent so mmegeuza game Sodom na Gomorrah
Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako
Vuta hiyo mini chini unamwaibisha mamako
Ka unatafta ule anajua kupika kupika uji
Sio kupiga picha uchi
Unfollow nyako follow nyanyakoUkitaka nyama apa sawa chief
Hii butchery tunaita usiwahi blunder
Na beefs huwanga ready ka skangaa
Bonga shit unatandikwa ka kitambaa
Bedcover ama handkerchiefIf your God is money then you’re poor to me
I have a feeling you’re not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery, I’ve been a winner
Usinieke gasoline
Na bado hamjazima moto niliwasha ’03Nakam na (Finyo)
Watu wabaki (Finyo)
Ilikuwa tu (Finyo)
So najiona (Finyo)
Na tuna (Finyo)
Bado tuna (Finyo sana)You ready for the world, is it ready for you?
You waiting for your girl, is she waiting for you?
Niliskia type yako hulike ma bachelors
Sijui ka ni true
IG ben yule carpenter
I feel ka ni true, ah-ah-ah
Ni reasoning sio umang’aa
Ujinga ndio si hukataa
Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaa
Greatness ni kuamkia legacy sio chapaa
Siwezi kuua juu ya thao kaa kwangu thao sio chapaaMy apartment in Amsterdam
Certified rastaman
Aki sometime nahang
I feel like I’m Saddam
I feel like I’m the best
Nikumake man impressed (Zii)
Nikufake happiness (Zii)
Mi ni mercilessI’m ill, na nitawatesa until mkubali kesi
Ka sitakuimpress na skill, nipambe freshi
Ukidai tuingie commercial still, nakuanga messy
Prepare kuingia battlefield na mwanajeshi
Hii ni ile inaitwa, one-shot-kill
Nafeelingi fiti, nikiwamadanga ki action film
Nabelieve hii mziki itanibuyia mansion still
AhhIf your God is money then you’re poor to me
I have a feeling you’re not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery, I’ve been a winner
Usinieke gasoline
Na bado hamjazima moto niliwasha ’03Nakam na (Finyo)
Watu wabaki (Finyo)
Ilikuwa tu (Finyo)
So najiona (Finyo)
Na tuna (Finyo)
Bado tuna (Finyo sana)Mwanaume aseme hii shamba siezi lima
Nakam na plough mbili
Hiyo ingine ni ya finyo pekee
Niko na issue ikiwa juu yangu ka si kofia
Kwa maissue za vitabu za historia
Jina yangu, watoi wako wataisoma pia
Ata ka utadedi ukisema hukuwahi kuniskiaNishakusikia kila year, ukilia utarun next year
Si this year pia ilianza ukilia, walahi this year
Next year nitaquit, niko high ju niko this year
Sitakuwa high next year ka nitakuwa high next year
Excuses
Excuse me, please, sorry, thank you
Mission impossible, kifo ni ngori joNa isikupate ukitry too hard to be perfect
Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet
Smile ka bado hujapita budget
Na ka umepita ficha shida chini ya carpet
Inapiga, inapiga kushinda earthquake
Inapiga, inapiga kushinda earthquake
Watu tunarace na wao
Wanashindwa kushusha handbrake
Uhunye na Rao wamepiga handshake

Updated: March 24, 2020 — 8:27 am

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3