AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Nyashinski – KEBS

Need a web developer in nigeria
Nyashinski – KEBS

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Nyashinski – KEBS Lyrics

Umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi (umh)
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwavalia navy blue
Malaika ananisho umeweka mapenzi juu
Rumours za mascandal za ulover na lady drama
Na ati statoe mahali uko na baby mama
Kwa mitandao kila siku ni story new
Bundles zako zikiisha utapitwa usiporenew
Ka pedi Niko chini ya waba, Leo dreadi zinafungwa juu
Naishi mahali juu kwa anga so daily naenjoy the view
Ukitaka kuona roho chafu, shika doh kidogo uone vile utaboo watu
For ten years hamkua mnajali mahali nalala
Hii screw driver yangu ni shimo gani inascrew
Mtu mahali ameamua hatalala salama
kabla ahakikishe ameambia watu nyash anajidu
Sitaki kuona wakikucelebrate
Role model na watoi wanakuimitate
Haumangi pekee yako unasplit hii plate
Au tukutrendishe vile tulifanya jimmy gait
Hii industry na mademon uko sure unataka fame?
Pengine ndio maana siblend in juu.
Unaeza tell kuna venye mi na hao hatuko same
Mi si ng’ombe yako ya gredi du
Umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi(umh)
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwavalia navy blue
Malaika ananisho umeeka mapenzi juu
Eeeh (KEBS)
Standard ya quality sisi hapa
(KEBS)
Hii ndio standard ya quality (nananana)
(KEBS)
(KEBS)
Yeah,
Nawaskia mkiongea naamua kukaa kimya
Naona far ka twiga
Au ka mjinga
Ama bouncer unapima
Wazimu nawazima kwa simu nayasima
Ya mchuzi ndio sina
You can’t believe all this bullshit you are reading
You can’t be really considering singing
Big fat cheque for nyashinski though
Hata ka mungu pekee haikua na video
Ana ngoma tatu pekee tumwitie nini show
Naskia kuenda interview anaitisha milioni
You can’t believe all this bullshit you are reading
You can’t be, you can’t be, you can’t be serious
You can be anything you wanna be
A drug addict, you drug addict
Nyumba runda bado tu ni fantasy
List ni watu wawili Mimi na king wa south c
Mkipenya mnapenya but your eyes can’t see
Uko busy tu kwa group hating on me
Eti (ooh) he has a big EGO he
refused to follow me on IG I’m not voting
God bless you even before you sneeze
Its a free country you can do as you please
Nikiamka Sunday nijipate on my knees
Nitakua nikisema asante si please
Umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi (umh)
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwavalia navy blue
Malaika ananisho umeweka mapenzi juu
Na yule wanayemsema yule
Jina lake wanamwita ego (iyooh)
Kubali mziki umeenda shule
Na mashow si pia ndio hizo (iyooh)
Mziki nakupenda milele cha kututenganisha kifoo(iyeeh)

Updated: January 20, 2020 — 2:42 am

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3