AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Professor Jay Ft Mr T Touch – PAGAMISA

Need a web developer in nigeria
Professor Jay Ft Mr T Touch – PAGAMISA

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Ooo yeyeee (yee) Yeyeeyee Mtoto wa geto Ooo yeyeee (yee) Yeyeeyee Mtoto wa geto Nimezaliwa kitaa Na mbinu zote za kutengeneza chapaa (Mtoto wa geto) Nasiwezi zubaa Toka gheto to mjengoni mimi natetea kitaaa Mina Pagamisa Once again is the man with the master plan Legendary but future of the game Am doing for ma people Na yu do it for fame (Miimiiii) Dj the name lets go

Its a boom byee (byee) Sauti ya kitaa (taa) Hii ni kwa wote wajane na wenye njaa Badilika kama saa kwenye giza ni taa(taa) Tokea magetoni uoga nishakataa Another hate banger hit maker jay na touch(touch) Amani kwa wanangu darasa too much (too much) Ni msoto kama mzazi tufa na dj flash Tunapagamisa anga za wana mwanajisachi Tumesharuka viunzi mbalimbali vya hatari Tumetoka mbali R.I.P thomas mashali Ndo maana tunacheka tu hata ukija na kisu Tuchape hata risasi Tunatoka ka Tundu Lisu Nimezaliwa kitaa Na mbinu zote za kutengeneza chapaa (Mtoto wa geto) Nasiwezi zubaa Toka gheto to mjengoni mimi natetea kitaaa Mina Pagamisa Iz Like on on n on like dis Saka vumba saka mapene lakin peace Watu hawalali sadali usijimix yaan uuuuu (siren) He comes the sound ya police Maisha yako kasi na mitkasi ya mwendokasi Leo umepata kesho umekosa ondoa wasi Hii kwa mafans watoto nawarudisha class Mwanamsolopaganzi vichwa vya panz kwangu uduwanzi bac Mgodi unaotembea ulioshine mazaga zaga Tuko unavyotoka chipopu usugua gaga Roho ya tajiri kama Mengi au Kusaga Hain shobo dundo shoboka nivunje chaga Mikumi stand up Umoja ndo nguvu yetu Mshikamano na upendo kwa faida ya watu wote Morogoro stand up Mji kasoro bahari Na maji yatiririka milima ndo asili yetu Tanzania stand up Mbona bunduki mchana kweupe na Watu wasiojulikana iko wapi amani yetu Africa stand up One love one people One continet sote ni ndugu ndo kauli yetu Nimezaliwa kitaa Na mbinu zote za kutengeneza chapaa (Mtoto wa geto) Nasiwezi zubaa Toka gheto to mjengoni mimi natetea kitaaa Mina Pagamisa Yee(yee) Jeezy Uuuh Eeeh So everybody say Are you Ok Am Ok If you Ok Am Ok Are you Ok Am Ok If you Ok Then am Ok (Tooouchhhh) Ok (Here is another One) Ok Uuuh Ok Jeezy Ok Pagamisa

Updated: March 18, 2020 — 8:27 am

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3