AFRIKMP3.COM

Africa Mp3 Download

Rebecca Soki – Baraka Zangu

Rebecca Soki – Baraka Zangu

By visiting our site, you have consented to our terms and conditions and Privacy Policy. In the event that you face any issue with respect to downloading mistake, or any error, DMCA Report OR need to ask for your most loved music, Then Kindly get in touch with us by filling the Contact Us Form. To start this download you need to click on [Download] Button. Remember that by downloading the [Mp3] you accept our terms and conditions.

Download

Mara mingi moyo unakataa
Hata damu unashindwa kusukuma
Nikiwaza mengi nimepitia
Ila imani ndio inanisukuma
Bado nangoja
Bado nangoja
Bado nangoja
Bado nangoja
Napata kizunguzungu sana
Ninapata kizunguzungu uu
Sometimes maisha inakua ngumu sana
Hata nimekosa nguvu
Lakini nakumbukuka,
Ahadi zako, ahadi zako
Tena nakumbuka matendo yako
Uko mwaminifu ukisema unatenda
Wewe ni mwaminifu kwa ahadi zako
Zile baraka zangu, Bwana
Zile baraka zangu (bado nangoja)
Na Zile baraka zangu, Bwana
Zile baraka zangu (bado nangoja)
Na zile ahadi zangu, Bwana
Zile ahadi zangu (bado nangoja)
Zile, zile (bado nangoja)
Shughulika na hali yangu
Nimelala sakafuni
Kwenye baridi mateso mengi
Shughulika na hali yangu najua mwokozi
Uje mapema wala huchelewi
Nimehustle haswa
Miaka kadhaa
Nimetokwa na jasho jasho nikitegea
Tena kama Daudi, tena kama Esta
Baba nakutegemea, Mungu nakutegemea
Zile baraka zangu, bwana
Zile baraka zangu (bado nangoja)
Na zile baraka zangu, bwana
Zile baraka zangu (bado nangoja)
Zile ahadi zangu, bwana
Zile ahadi zangu, (bado nangoja)
Zile, zile (bado nangoja)
Tegemeo la moyo wangu, ni wewe Yesu
Tumaini la moyo wangu, ni wewe Kristu
Nakungojea, nakungojea, nakungojea, nakungojea
Zile baraka zangu, bwana
Zile baraka zangu (bado nangoja)
Na zile baraka zangu, bwana
Zile baraka zangu (bado nangoja)
Zile ahadi zangu, bwana
Zile ahadi zangu, (bado nangoja)
Zile, zile (bado nangoja)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

AFRIKMP3 © 2020 - Mp3 Music Download. flexyjam, fakaza, howwe, naijaloaded, tooxlcusive, waploaded, mp3afric, naijmp3